Soma na usikilize Sura Bani Israil pamoja na tarjuma yake, tafsir, usomaji wa sauti, maana ya neno kwa neno, na unukuzi pia. Tarjuma ya Ali Muhsin Al-Barwani.
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu
SUBHANA, Ametakasika aliye mchukua mja wake usiku mmoja kutoka Msikiti Mtukufu mpaka Msikiti wa Mbali, ambao tumevibariki vilivyo uzunguka, ili tumuonyeshe baadhi ya Ishara zetu. Hakika Yeye ni Mwenye kusikia na Mwenye kuona. 1